Mtunzi: Martin Mutua Munywoki
> Tazama Nyimbo nyingine za Martin Mutua Munywoki
Makundi Nyimbo: Kupaa kwa Bwana
Umepakiwa na: Eusebius Joseph Mikongoti
Umepakuliwa mara 501 | Umetazamwa mara 2,181
Download Nota Download Midi1. Enyi watu wote, pigeni makofi, mpigieni Mungu, kelele za shangwe
Kiitikio
Mungu amepaa kwa kelele za shangwe, Bwana kwa sauti ya baragumu (kwa sauti ya baragumu) x2
2. Kwakuwa Bwana aliye juu, ni mwenye kutisha, mwenye kuogofya
3. Yeye ndiye Mfalme, yeye ndiye Mfalme, ndiye Mfalme mkuu wa Dunia yote
4. Mwimbieni Mungu, Naam imbeni, mwimbieni Mfalme, mshangilieni