Mtunzi: Mayebwa.ii.ek.
> Mfahamu Zaidi Mayebwa.ii.ek.
> Tazama Nyimbo nyingine za Mayebwa.ii.ek.
Makundi Nyimbo: Miito
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 549 | Umetazamwa mara 2,674
Download Nota Download MidiShambani mwa Bwana kuna mavuno mengi x2 {Shambani mwa Bwana kuna mavuno mengi lakini watendao kazi wavunao ni wachache x2}
1.Watu wake Bwana wametawanyika wamechoka, kama kondoo wasiokuwa na mchungaji.
2.Basi muombeni Bwana wa mavuno apeleke, watenda kazi zaidi katika shamba lake.
3.Nawapeni amri na mamlaka yote na uwezo, tiisheni pepo takaseni wenye Magonjwa.
4.Nakatika njia zenu hubirini tangazeni, mkisema ufalme wa mbingu umekaribia