Mtunzi: Mayebwa.ii.ek.
> Mfahamu Zaidi Mayebwa.ii.ek.
> Tazama Nyimbo nyingine za Mayebwa.ii.ek.
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 249 | Umetazamwa mara 1,120
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 25 Mwaka C
(Msifuni Bwana anayewakweza Maskini) Msifuni Bwana anayewakweza Maskini x2 Msifuni (msifuni Bwana) Msifuni (msifuni Bwana) anayewakweza Maskini.
1.Enyi watumishi wa Bwana, lisifuni, lisifuni jina la Bwana lihimidiwe tangu leo na hata milele
2.Bwana ni mkuu juu ya mataifa juu ya mataifa yote utukufu wake ni juu ya mbingu juu ya mbingu.
3.Ni nani aliye mfano wa Bwna Bwana wetu aketiye juu anyeyekeaye kutazama mbingu na Duniani.
4.Humuinua mnyonge kutoka mavumbini na kumpandisha kumpandisha Maskini kutoka jaani.