Ingia / Jisajili

Ufurahi Moyo Wao Wamtafutao Bwana(Mwanzo Jp 30)(Revised)

Mtunzi: Respice Makoko
> Mfahamu Zaidi Respice Makoko
> Tazama Nyimbo nyingine za Respice Makoko

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: RESPICE MAKOKO

Umepakuliwa mara 3,843 | Umetazamwa mara 8,648

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 30 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

UFURAHI MOYO WAO WAMTAFUTAO BWANA

(Mwanzo Jumapili ya 30)

KIITIKIO

Ufurahi moyo wao wamtafutao Bwana, ufurahi moyo wao wamtafutao Bwana x2.
Utafuteni utafuteni uso wake siku zote, utafuteni uso wake siku zote x2.

MASHAIRI

  1. Zikumbukeni ajabu zake alizozifanya, miujiza yake na hukumu ya kinywa chake.
  2. Enyi wazao wa Ibrahimu mtumishi wake, enyi wana wa Yakobo muwateule wake.
  3. Baba na Mwana na Roho Mtakatifu watukuzwe, kama mwanzo hata sasa na milele amina.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa