Ingia / Jisajili

Kazaliwa Emmanueli (Revised)

Mtunzi: Respice Makoko
> Mfahamu Zaidi Respice Makoko
> Tazama Nyimbo nyingine za Respice Makoko

Makundi Nyimbo: Noeli

Umepakiwa na: RESPICE MAKOKO

Umepakuliwa mara 741 | Umetazamwa mara 2,804

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

KAZALIWA EMMANUELI (REVISED)

KIITIKIO

Kazaliwa Emmanueli kazaliwa (Emmanueli) kazaliwa Emmanueli Bethlehemu.x2

MASHAIRI

  1. Mtoto amezaliwa amelazwa katika hori (twende) twende sote tukamwone mtoto Yesu.
  2. Mtoto Emmanueli ndiye Mungu pamoja nasi (twende) twende sote tukamwone mtoto Yesu.
  3. Atakuwa Mfalme wa mbinguni na duniani (twende) twende sote tukamwone mtoto Yesu.
  4. Yeye ndiye Masiya yeye ndiye Mwokozi wetu (twende) twende sote tukamwone mtoto Yesu.
  5. Sote tushangilie kwa vifijo na shangwe kuu (twende) twende sote tukamwone mtoto Yesu.

Maoni - Toa Maoni

Yakobo mshana Dec 06, 2016
Uko vizuri

Toa Maoni yako hapa