Ingia / Jisajili

Mawazo Ninayowawazia Ninyi (Mwanzo J2 33 )

Mtunzi: Respice Makoko
> Mfahamu Zaidi Respice Makoko
> Tazama Nyimbo nyingine za Respice Makoko

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: RESPICE MAKOKO

Umepakuliwa mara 1,687 | Umetazamwa mara 5,454

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

KIITIKIO

Bwana asema mawazo ninayowawazia ninyi ni mawazo ya amani wala si  ya mabaya.x2
Nanyi mtaniita nami nitawasikiliza nami nitawarudisha,kutoka mahali pote, watu wenu waliofungwa, watu wenu waliofungwa.

MASHAIRI

  1. Maana ninayajua ninayowawazia ninyi, asema Bwana ni mawazo ya amani.
  2. Maana mtamuita mtakwenda kumwomba Bwana, atayasikia yale  yote muombayo.
  3. Nami nitawarudisha watu wenu waliofungwa, waliofungwa toka Mataifa yote.
  4. Nanyi mkinitafuta mkinitafuta kwa moyo, kwa moyo wote Mtanipata hakika.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa