Ingia / Jisajili

Roho Mtakatifu Ushushe Mapaji Yako

Mtunzi: Respice Makoko
> Mfahamu Zaidi Respice Makoko
> Tazama Nyimbo nyingine za Respice Makoko

Makundi Nyimbo: Pentekoste

Umepakiwa na: RESPICE MAKOKO

Umepakuliwa mara 736 | Umetazamwa mara 2,831

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

KIITIKIO

Roho Mtakatifu ushushe mapaji yako utuimarishe.x2

MASHAIRI

  1. Roho Mtakatifu utushukie sisi wanyonge utupe ujasiri tuwe imara.
  2. Roho Mtakatifu utujalie mwanga wa roho tuweze kuiona njia ya kweli.
  3. Roho Mtakatifu utujazie neema yako tulinde kila siku imani yetu.
  4. Roho Mtakatifu Mfariji wa nyoyo za watu uoshe machafuko ya nyoyo zetu.
  5. Roho Mtakatifu utujalie matumaini mapaji yako saba tuyapokee.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa