Ingia / Jisajili

Lakini Hata Sasa

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Kwaresma

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 339 | Umetazamwa mara 1,285

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Shangilio Dominika ya 5 ya Kwaresma Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

(Lakini hata sasa)  lakini hata sasa asema Bwana (nirudieni) nirudieni (mimi) kwa mioyo yenu (yote) kwa maana ni mwenye neema na huruma ×2


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa