Mtunzi: Reuben Maghembe
> Tazama Nyimbo nyingine za Reuben Maghembe
Makundi Nyimbo: Pasaka
Umepakiwa na: Reuben Maghembe
Umepakuliwa mara 1,033 | Umetazamwa mara 4,124
Download Nota Download MidiKiitikio
Bwana kafufuka sote twimbe aleluya *2
Ameshinda na mauti ameivunja minyororo ya shetani
Mkombozi wetu Yesu Kristu leo kafufuka *2
Beti
1.
Shangwe, na furaha, Mkombozi wa ulimwengu kafufuka
aleluya, ameshinda mauti sasa mshindi aleluya
2.
Leo, ufufuo, na uzima wa ulimwengu umefika, Yesu
Kristu, aliteswa na wayahudi leo hii kafufuka
3.
Bwana kafufuka, kama alivyosema yeye, kaburiri, ametoka,
ametangulia kwenda Galilaya, aleluya.
4.
Enyi, wanawake, huzuni yenu ni ya nini, furahini, Mfalme
wenu kafufuka asubuhi, na mapema