Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga
Makundi Nyimbo: Ubatizo
Umepakiwa na: David Wasonga
Umepakuliwa mara 4,371 | Umetazamwa mara 9,160
Download Nota Download MidiKiitikio:
Bwana alipokwisha kubatizwa mbingu nazo zikamfunukia, Roho akashuka kwa mfano wa hua.
Shairi:
Na tazama sauti ya baba ikasema huyu ni mwanangu mpendwa nilipendezwa naye.