Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga
Makundi Nyimbo: Mama Maria
Umepakiwa na: David Wasonga
Umepakuliwa mara 2,968 | Umetazamwa mara 8,588
Download Nota1. Salamu Mama twakusalimu, pokea zetu hizi salamu,sisi wanao twakusalimu;salamu mama Ee mama yetu(salamu)
Chorus: Salamu mama(Maria) twakusalimu; Salamu, salamu mama Maria, sisi wanao tunakusalimu
2.Ewe Bikira Mstajabivu,uliye mama wa Mkombozi, mama mpendelevu(mama) wa shauri jema, mama usiye na dhambi(Ee mama) mzazi Mtakatifu(wa Mungu) usiye na doa.... Chorus
3. Bikira mwenye heshima, Bikira mwenye utaratibu, kioo cha haki, sababu ya furaha yetu, chombo cha neema, chombo bora cha ibada (na tena) chombo cha hekima(waridi0 waridi lenye fumbo...Chorus