Ingia / Jisajili

Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Nani Angesimama(Mwanzo Jp 28)

Mtunzi: Respice Makoko
> Mfahamu Zaidi Respice Makoko
> Tazama Nyimbo nyingine za Respice Makoko

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: RESPICE MAKOKO

Umepakuliwa mara 4,748 | Umetazamwa mara 14,528

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

BWANA KAMA WEWE UNGEHESABU MAOVU NANI ANGESIMAMA

(Mwanzo Jumapili ya 28 )

KIITIKIO

Bwana kama wewe ungehesabu maovu Ee Bwana nani angesimama. (Lakini kwako kuna msamaha Ee Mungu wa Israeli, lakini kwako kuna msamaha Ee Mungu wa Israeli.x2 )

MASHAIRI

  1. Nimemngoja Bwana roho yangu imengoja, neno lako nimelitumainia.
  2. Ee Israeli mta-rajie Bwana mta-rajie, kwa maana kwa Bwana kuna fadhili.
  3. Atukuzwe Baba, Mwana na Roho Mtakatifu, kama mwanzo  sasa milele amina.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa