Ingia / Jisajili

Ee Bwana Ulimwengu Wote U Katika Uwezo Wako (Jumapili Ya 27)

Mtunzi: Respice Makoko
> Mfahamu Zaidi Respice Makoko
> Tazama Nyimbo nyingine za Respice Makoko

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: RESPICE MAKOKO

Umepakuliwa mara 2,689 | Umetazamwa mara 6,533

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

EE BWANA ULIMWENGU WOTE U KATIKA UWEZO WAKO

(Mwanzo Jumapili ya 27 )

KIITIKO

Ee Bwana ulimwengu wote u katika uwezo wako , wala hakuna awezaye kukupinga ukipenda,Wewe umeumba yote mbingu na nchi na vitu vyote vya ajabu vilivyomo chini ya mbingu ndiwe Bwana wa wote.

MASHAIRI

  1. Bwana ndiye mkuu na mwenye kusifiwa sana, katika mji wa Mungu wetu, mlimani pake patakatifu.
  2. Kwa maana tazama wafalme walikusanyana,na walipita wote pamoja,waliona mara wakashangaa.
  3. Tumtukuze Baba na tumtukuze na Mwana,pia na Roho Mtakatifu,kama mwanzo sasa hata milele.

Maoni - Toa Maoni

Martin Somba Sep 27, 2016
Pongezi

Toa Maoni yako hapa