Mtunzi: Wachira Sammy
> Mfahamu Zaidi Wachira Sammy
> Tazama Nyimbo nyingine za Wachira Sammy
Makundi Nyimbo: Kupaa kwa Bwana
Umepakiwa na: Samuel wachira
Umepakuliwa mara 1,394 | Umetazamwa mara 3,046
Download Nota Download MidiBwana amepaa kwa kelele za shangwe, Bwana kwa sauti ya baragumu x2
1. Enyi watu wote pigeni makofi, mpigieni Mungu kelele za shangwe.
2. Kwa maana Bwana mwenye kuogofya, ndiye mfalme wa dunia yote.
3. Mungu amepaa kwa kelele za shangwe, Bwana kwa sauti ya baragumu.