Mtunzi: Wachira Sammy
> Mfahamu Zaidi Wachira Sammy
> Tazama Nyimbo nyingine za Wachira Sammy
Makundi Nyimbo: Utatu Mtakatifu
Umepakiwa na: Samuel wachira
Umepakuliwa mara 468 | Umetazamwa mara 2,198
Download Nota Download MidiChorus: Kwa Jina la Baba na la Mwana x2
Na la Roho mtakatifu Amina x2.
1. Ndizo nafsi tatu za Mungu mmoja Baba Mwana Roho Mtakatifu.
2. Katuumba Baba kamtuma Mwana naye Roho yuko nasi siku zote.
3. Usifiwe Mungu Baba naye Mwana Roho mtakatifu milele Amina.
4. Atukuzwe Baba atukuzwe Mwana Atukuzwe Roho Mtakatifu.