Mtunzi: Wachira Sammy
> Mfahamu Zaidi Wachira Sammy
> Tazama Nyimbo nyingine za Wachira Sammy
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Samuel wachira
Umepakuliwa mara 1,009 | Umetazamwa mara 3,837
Download Nota Download MidiOnjeni muone ya kuwa Bwana
yu mwema (x2)Nitamuhimidi Bwana kila wakati sifa zake zi kinywani mwangu daima
x2
1. Katika Bwana nafsi yangu itajisifu wanyenyekevu wasikie
wakafurahi.
Mcheni Bwana enyi watakatifu wake, Yaani wamchao hawahitaji
kitu.
2. Wanasimba hutindikiwa huona njaa bali wa Bwana hawahitaji
chema.
Njooni enyi wana mnisikilize nami nitawafundisha kumcha
Bwana.
3. Ni nani yule apendezwaye na uzima apendaye siku nyingi kuona
mema.
Huuzuia ulimi wako na mabaya na midomo yako kusema hila.
4. Uache mabaya ukatende mema, utafute amani ukaifuatie,