Mtunzi: Wachira Sammy
> Mfahamu Zaidi Wachira Sammy
> Tazama Nyimbo nyingine za Wachira Sammy
Makundi Nyimbo: Shukrani
Umepakiwa na: Samuel wachira
Umepakuliwa mara 979 | Umetazamwa mara 3,473
Download Nota(Ninakushukuru Baba yangu
nasema asante, umenitendea mengi makuu Baba asante) x2(Asante Baba asante, asante
nashukuru kwa pendo la ajabu pokea sifa hizi)x2
1.
Umenilisha mwili wako
chakula chenye uzima, umeninywesha damu yako kinywaji chenye uzima (Jinsi
gani nikushukuru sina cha kukulipa wewe lilobaki nikushukuru Asante ninashukuru)
2. Umenilinda mchana kutwa na usiku, wiki nzima, mwezi mzima
hata mwaka (jinsi ………………………………………
3. Mema mengi wanijalia bila mimi kutarajia ingawa mimi ni
mdhambi umenipenda bila mwisho (jinsi………………………………………
4. Mvua nyingi zinanyesha, mimea nayo yasitawiMavuno mengi
mashambani, chakula kingi manyumbani (msimu wa joto na baridi zapendeza, hizi
zote ni Barakazako kwetu sisi) x2(Jinsi………………………………………