Mtunzi: Michael Mhanila
> Mfahamu Zaidi Michael Mhanila
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Mhanila
Makundi Nyimbo: Epifania | Mwanzo
Umepakiwa na: Michael Mhanila
Umepakuliwa mara 456 | Umetazamwa mara 1,657
Download Nota Download MidiTazama anakuja mtawala Bwana mwenye ufalme mkononi mwake na uweza na enzi
1. Angalieni namtuma mjumbe wangu naye ataitengeneza njia ya Bwana mbele yangu
2. Lakini ni nani atakayestahimili siku ya kuja kwake au ni nani atakayesimama atakapo onekana naye