Mtunzi: Michael Mhanila
> Mfahamu Zaidi Michael Mhanila
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Mhanila
Makundi Nyimbo: Shukrani
Umepakiwa na: Michael Mhanila
Umepakuliwa mara 443 | Umetazamwa mara 2,568
Download Nota Download MidiSauti yangu ina kiu ya kumuimbia Bwana nafarijika kumuimbia Bwana wanngu,namwimbia Bwana muziki mtakatifu,sifa kwake Mungu aliyemkamilifu,ni vema kumuimbia Bwana kwa kinanda kwa kinubi zeze na ngoma nzuri, kwa malingo na vigelegele vyangu namsifu Bwana wangu kwa kuruka na kucheza,nitamwimbia Bwana siku zangu zote. 1.sauti yangu Bwana inakuimbia wewe Mungu wangu siku zangu zote 2.kwa kinanda kinubi ninaimba sifa zako iwe shukrani kwako baba muumba 3.sauti (1)so so do do la si so mi mi re re la la so fa mi,so fa la so so,so so do si do do,saut (2)mi mi mi mi fa re mi do do si si fa fa mi re do,mi do re si si mi mi fa re fa mi mi 4. (sauti ya 3 na 4)(a)sifa na shukrani zifike kwako Ee Baba unayeishi na kutawala milele (b)(sauti ya 3)so so la la so so fa fa mi so fa mi re mi la la si do si la so so la fa mi re so fa mi.(sauti ya 4)mi mi fa fa mi mi re re do mi re do si do,fa fa so la so fa mi mi fa re do si mi re do