Ingia / Jisajili

Chakula cha Bwana

Mtunzi: Michael Mhanila
> Mfahamu Zaidi Michael Mhanila
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Mhanila

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Pentekoste | Utatu Mtakatifu

Umepakiwa na: Michael Mhanila

Umepakuliwa mara 639 | Umetazamwa mara 2,045

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Tunaalikwa wote kuupokea mwili na damu ya Yesu meza ya upendo meza ya amani chakula cha Bwana kipo tayari 1. Hiki ni chakula kilichoshuka kutoka mbinguni tujongee mezani kwake 2.Hii ni ekaristi chakula bora twende tukashiriki tupate uzima milele 3.Karibuni mezani kwake Bwana Yesu tukale chakula chenye uzima

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa