Mtunzi: Alan Mvano
> Mfahamu Zaidi Alan Mvano
> Tazama Nyimbo nyingine za Alan Mvano
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Alan Mvano
Umepakuliwa mara 1,813 | Umetazamwa mara 4,045
Download Nota Download MidiKiitikio
Taa bu ya mikono yako hakika utaila
Mashairi
1. Heri kila mtu amchaye Bwana, aendaye katika njia yake
heri yao wale wamchao Bwana, utakuwa mwenye heri na baraka tele
2. Mkeo atakuwa kama mzabibu uzaao, nyumbani mwa nyumba yako
wanao kama miche ya mizeituni, wakiizunguka meza yako
3. Tazama atabarikiwa yule amchaye Bwana, Bwana atakubariki toka sayuni
uuone uheri wa Yerusalemu siku zote