Mtunzi: Thomas G. Mwakimata
> Tazama Nyimbo nyingine za Thomas G. Mwakimata
Makundi Nyimbo: Miito | Zaburi
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 3,847 | Umetazamwa mara 9,307
Download Nota Download MidiBwana ndiye mchungaji wangu sitakungukiwa na kitu sitapungukiwa na kitu x 2, katika malisho ya majani mabichi hunilaza kando ya maji ya utulivu huniongoza x 2:
Mashairi:
1. Hunihuisha nafsi yangu na kuniongoza katika njia za haki kwa ajili ya jina lake.
2. Naam nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti sitaogopa mabaya.
3. Kwa maana wewe upo nami gongo lako na fimbo yako vyanifariji.
4. Hakika wema na fadhili zako zitanifuata siku zote za maisha yangu.