Ingia / Jisajili

Ni Kiumbe Wako

Mtunzi: Thomas G. Mwakimata
> Tazama Nyimbo nyingine za Thomas G. Mwakimata

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Mazishi | Shukrani

Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata

Umepakuliwa mara 128 | Umetazamwa mara 775

Download Nota
Maneno ya wimbo
Ni viumbe wako, Umependezwa Naye, Twakushukuru Mungu kwa rehema na baraka zako x 2. Mashairi: 1. Ulimuumba wewe kwa upendo wako mkuu, Na tena ukamjalia, Uhai nguvu na Maarifa. 2. Amekuwa baraka kwetu sisi asante Baba, Ni kazi ya mikono yako, kiumbe bora shambani Mwako. 3. Asante Mungu wetu Jina lako lihimidiwe, wewe ndiwe unayetoa, Wewe ndiye unaye-twaa.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa