Mtunzi: Thomas G. Mwakimata
> Tazama Nyimbo nyingine za Thomas G. Mwakimata
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Zaburi | Ndoa
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 1,171 | Umetazamwa mara 3,747
Download Nota Download MidiHeri walio kamili njia zao, waendao katika sheria ya Bwana x 2.
Mashairi:
1.Heri wazitiio shuhuda zake, wamtafutao kwa moyo wote.
2.Wewe umeamuru mausia yako, ili sisi tuyatii sana.
3. Ningependa njia zangu ziwe dhabiti, nizitii amri zako.
4. Umtendee mtumishi wako ukarimu, nipate kuishi nami nitalitii neno lako.
5. Unifumbue macho yangu niyatazame, maajabu yatokayo katika sheria yako.