Mtunzi: Thomas G. Mwakimata
> Tazama Nyimbo nyingine za Thomas G. Mwakimata
Makundi Nyimbo: Mwanzo | Pasaka
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 2,372 | Umetazamwa mara 5,501
Download Nota Download MidiKama watoto wachanga walio zaliwa sasa yatamanini maziwa ya akili yasiyoghoshiwa x ; 2 Ili kwa hayo mpate kuukulia wokovu Aleluya X 2.
1. Mtukuzeni Mungu ndiye shime yetu, Mshangilieni Mungu wa Yakobo.
2. Paazeni sauti pigeni matari, Na kinanda chenye sauti nzuri na kinubi.
3. Pokeeni furaha ya Utukufu, Mshukuruni Mungu aliye waita kwa Ufalme wake mbinguni