Mtunzi: Thomas G. Mwakimata
> Tazama Nyimbo nyingine za Thomas G. Mwakimata
Makundi Nyimbo: Zaburi | Mafundisho / Tafakari | Majilio
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 1,427 | Umetazamwa mara 4,377
Download Nota Download MidiNafsi Yangu Yamngoja Mungu peke yake kwa kiimya wokovu wangu hutoka kwake x2.
Mashairi:
1. Yeye tu ndiye mwamba wangu na wokovu wangu, ngome yangu sitatikisika sana.
2. Nafsi yangu umngoje Mungu peke yake kwa kimya, tumaini langu hutoka kwake.
3. Kwa Mungu wokovu wangu na utukufu wangu, mwamba wa nguvu zangu na kimbilio langu ni kwa Mungu.
4. Enyi watu mtumainini siku zote,Ifunueni mioyo yenu mbele zake, Mungu ndiye kimbilio letu.