Mtunzi: Thomas G. Mwakimata
> Tazama Nyimbo nyingine za Thomas G. Mwakimata
Makundi Nyimbo: Ndoa | Zaburi | Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 3,068 | Umetazamwa mara 6,529
Download Nota Download MidiHeri kila mtu amchaye Bwana aendae katika njia zake x 2.
1. Taabu ya mikono yako hakika utaila, utakuwa heri na kwako kwema.
2. Mkeo atakuwa kama mzabibu uzaao, vyumbani mwa nyumba yako.
3. Wanao kama miche ya mizeituni, wakiizunguka meza yako.
4. Tazama atabarikiwa hivyo yule amchaye Bwana, Bwana akubariki toka sayuni.
5. Uone uheri wa Yerusalemu, siku zote za maisha yako.