Ingia / Jisajili

Sala Yangu Ipae

Mtunzi: Michael Mhanila
> Mfahamu Zaidi Michael Mhanila
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Mhanila

Makundi Nyimbo: Majilio | Noeli | Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Michael Mhanila

Umepakuliwa mara 261 | Umetazamwa mara 1,035

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 16 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 16 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 16 Mwaka C
- Katikati Dominika ya 5 ya Kwaresma Mwaka A
- Katikati Dominika ya 3 ya Pasaka Mwaka B
- Antifona / Komunio Dominika ya 23 Mwaka A
- Antifona / Komunio Dominika ya 23 Mwaka B
- Antifona / Komunio Dominika ya 23 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Sala yangu na ipae mbele yako kama moshi wa ubani  altareni nakuinuliwa kwa mikono yangu iwe kama sadaka ya Abeli

1. Ee Bwana tunakutolea sadaka yetu pamoja na maisha yetu ya kila siku

2. uwe radhi kluipokea sadaka yetu kama ile ya mababu wa zamani


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa