Mtunzi: Michael Mhanila
> Mfahamu Zaidi Michael Mhanila
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Mhanila
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Kristu Mfalme | Kupaa kwa Bwana
Umepakiwa na: Michael Mhanila
Umepakuliwa mara 390 | Umetazamwa mara 1,584
Download Nota Download MidiChakula cha bwana tayari kipo mezani bwana Yesu anatuarika twende tukale X2
1. bwana yesu anatuarika twende tukale mwili wake tupate uzima
2. bwana yesu anatuarika twende tukale mwili wake tupate uzima
3.Huyu ni Yesu toka mbinguni kikombe hiki ni amana ya upendo