Mtunzi: Thomas G. Mwakimata
> Tazama Nyimbo nyingine za Thomas G. Mwakimata
Makundi Nyimbo: Majilio | Zaburi
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 2,792 | Umetazamwa mara 5,835
Download Nota Download MidiEe Mungu uturudishe ee Mungu uturudishe, Ee Mungu uangazishe uso wako nasi tutaokoka x 2:
Mashairi:
1. Wewe uchungaye Israeli usikie, wewe uketiye juu ya makerubi utoe nuru.
2. Uziamshe nguvu zako ee Bwana, usiamshe nguvu zako uje utuokoe.
3. Ee Mungu wa majeshi tunakusihi urudi, utazame toka juu uone mzabibu huu.
4. Na mche ule uliopanda kwa mkono wako wa kuume, na tawi lile ulilofanya kuwa imara kwa nafsi yako.