Mtunzi: Thomas G. Mwakimata
> Tazama Nyimbo nyingine za Thomas G. Mwakimata
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Shukrani
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 859 | Umetazamwa mara 3,306
Download Nota Download MidiNikifananishe kizazi hiki na kitu gani nashindwa kusema kwa lugha nzuri iliyofasaha x 2 Tazama nikizazi kisicho na upendo kizazi kisicho na huruma chenye moyo wa jiwe hakika hiki ni kizazi cha nyoka x 2.
Mashairi:
1. Kizazi kilicho jaa chuki na kisasi, ufisadi na moyo wa hila.
2. Kizazi kinacho tukuza ushirikina, tamaa na anasa za dunia.
3. Ndimi zao za nena upotovu na unafiki na kuliasi jina la Bwana.
4. Mzabibu uliopanda na kuunyeshea mvua, tazama umekuwa mzabibu mwitu.