Ingia / Jisajili

Hawa Ndio Wale

Mtunzi: Thomas G. Mwakimata
> Tazama Nyimbo nyingine za Thomas G. Mwakimata

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Watakatifu | Shukrani

Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata

Umepakuliwa mara 658 | Umetazamwa mara 2,573

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Hawa ndio wale walipoishi walipanda kanisa kwa damu yao walikunywa kikombe cha Bwana wakawa rafiki zake Mungu x 2.

Mashairi:

1.Mbingu za uhubiri utukufu wako , anga lazitangaza kazi za mikono yako.

2. Sauti yao yaenea nchi nzima, maneno yao hata miisho ya dunia.

3. Mateso ya mwenye haki ni mengi lakini Bwana humponya yote.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa