Mtunzi: Thomas G. Mwakimata
> Tazama Nyimbo nyingine za Thomas G. Mwakimata
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Shukrani | Zaburi
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 1,177 | Umetazamwa mara 2,592
Download Nota Download Midi1. Mwimbieni Bwana, Mwimbieni wimbo mpya kwa maana ametenda mambo ya ajabu x 2.
Kiitikio: Bwana Ameufunua Wokovu wake Machoni pa mataifa, Ameidhihirisha haki yake Bwana ameidhihirisha haki yake x 2.
2. Mkono wakuume, Mkono wake mwenyewe, Mkono wake Mtakatifu umetenda wokovu x 2.
3. Miisho yote ya dunia, Imeuona wokovu imeuona wokovu wa Mungu wetu x 2.
4. Mshangilieni Bwana ncho yote shangilieni, Inueni sauti imbeni kwa furaha x 2.