Mtunzi: Dr. Basil B. Tumaini
> Mfahamu Zaidi Dr. Basil B. Tumaini
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. Basil B. Tumaini
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Mwanzo | Zaburi
Umepakiwa na: Basil Tumaini
Umepakuliwa mara 3,910 | Umetazamwa mara 7,623
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 23 Mwaka C
EE BWANA WEWE NDIWE MWENYE HAKI
(K) Zab. 119:137
Mtunzi: Dr. Basil B. Tumaini
Kiitikio:
Ee Bwana, Wewe ndiwe mwenye haki, na hukumu zako ni za adili
Mashairi:
1. Kama zilivyo rehema zako umtendee mtumishi wako,
Na amri zako unifundishe.
2. Mimi ni mtumishi wako, unifahamishe mimi,
Nipatejua shuhuda zako.