Mtunzi: Dr. Basil B. Tumaini
> Mfahamu Zaidi Dr. Basil B. Tumaini
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. Basil B. Tumaini
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Basil Tumaini
Umepakuliwa mara 2,709 | Umetazamwa mara 5,887
Download Nota Download MidiWAUFUMBUA MKONO WAKO ((K): Zab. 145:16)
Mtunzi: Dr. Basil Tumaini (0767847258)
Wimbo wa katikati: Jumapili ya 17 B na 18 A
Kiitikio:
Waufumbua mkono wako, wakishibisha kila kilicho hai (kila kilicho hai) matakwa yake.
Mashairi: Zab. 145: 10, 11, 15, 17.
1. Ee Bwana, kazi zako zote zitakushukuru nao wachamungu wako watakuhimidi.
2. Wataunena utukufu wa ufalme wako, na kuuhadithia uweza wako.
3. Macho ya watu wote yakuelekea wewe nawe huwapa chakula chao wakati wake.
4. Bwana ni mwenye haki katika njia zake zote na mwenye fadhili juu ya kazi zake zote.