Mtunzi: Dr. Basil B. Tumaini
> Mfahamu Zaidi Dr. Basil B. Tumaini
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. Basil B. Tumaini
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Basil Tumaini
Umepakuliwa mara 4,915 | Umetazamwa mara 8,879
Download Nota Download MidiEE BWANA YOTE ULIYOTUTENDEA (Tazama: Dan. 3:31, 29, 30,42, 40)
Mwanzo: Jumapili ya 26 ya mwaka
Mtunzi: Dr. Basil Tumaini (0767 847 258)
Wimbo wa Azaria katika tanuru. (Dan. 3:24-45)
Kiitikio:
Ee Bwana, yote uliyotutendea umeyatenda kwa haki, Kwa kuwa sisi tumetenda dhambi wala hatukuzitii amri zako.
Viimbizi:
1. Ulitukuze jina lako na kututendea sawa sawa na wingi wa huruma zako.
2.Tukufuate wewe kwa unyofu, maana wanaokutumaini Wewe hawataaibika.