Ingia / Jisajili

Ee Bwana Fadhili Zako Ni Za Milele

Mtunzi: Dr. Basil B. Tumaini
> Mfahamu Zaidi Dr. Basil B. Tumaini
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. Basil B. Tumaini

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Basil Tumaini

Umepakuliwa mara 3,540 | Umetazamwa mara 6,982

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Ee Bwana Fadhili zako ni za milele ((K): Zab. 137:8) Mtunzi: Dr. Basil B. Tumaini (0767 847 258)

Kiitikio:

Ee Bwana, fadhili zako ni za milele; Usiziache kazi za mikono yako.

Mashairi. (Zaburi ya 137: 1-3, 6, 8b)

  1. Nitakushukuru kwa moyo wangu wote, mbele ya miungu nitakuimbia zaburi. Nitasujudu nikilikabili hekalu lako takatifu.
  2. Nitalishukuru jina lako, kwa ajili ya fadhili zako na uaminifu wako; kwa maana umeikuza ahadi yako kuliko jina lako lote. Siku ile niliyokuita uliniitikia, ukanifariji nafsi kwa kunitia nguvu.
  3. Ingawa bwana yuko juu, amwona mnyenyekevu, naye amjua mwenye kujivuna tokea mbali. Ee Bwana fadhili zako ni za milele; usiziache kazi za mikono yako.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa