Mtunzi: Dr. Basil B. Tumaini
> Mfahamu Zaidi Dr. Basil B. Tumaini
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. Basil B. Tumaini
Makundi Nyimbo: Noeli
Umepakiwa na: Basil Tumaini
Umepakuliwa mara 1,763 | Umetazamwa mara 5,184
Download Nota Download MidiLEO NI SIKU YA SHANGWE Mtunzi: Dr. Basil B. Tumaini Kiitikio: Leo ni siku ya shangwe ulimwenguni kote kwani Mkombozi wetu leo amezaliwa. Viimbizi: (Taz. Luka 2:10-13) Malaika akawaambia wachungaji: msiogope kwani ninawaletea habari njema. Maana leo katika mji wa Daudi, kwa ajili yenu amezaliwa, ndiye Kristu Bwana. Na hii ndiyo ishara kwenu: mtamkuta mtoto mchanga amelazwa katika hori la kulia ng’ombe. Mara walikuwepo pamoja na huyo malaika, jeshi la malaika, wakimsifu Mungu. Aleluya.