Ingia / Jisajili

Heri Nane

Mtunzi: Respice Makoko
> Mfahamu Zaidi Respice Makoko
> Tazama Nyimbo nyingine za Respice Makoko

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: RESPICE MAKOKO

Umepakuliwa mara 509 | Umetazamwa mara 2,704

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

HERI NANE

KIITIKIO

Heri wenye moyo wenye moyo safi, maana hao watamwona Mungu.x2

MASHAIRI

  1. Heri heri walio maskini wa roho, ufalme wa mbingu ni wao.
  2. Heri wenye huzuni maana hao, maana watafarijika.
  3. Heri wenye upole maana hao, ha-o watairithi nchi.
  4. Heri na wenye njaa na kiu ya haki, kwa maana watashibishwa.
  5. Heri wenye rehema maana hao, ha-o watapata rehema.
  6. Heri na wenye moyo wenye moyo safi, ma-ana watamwona Mungu.
  7. Heri wapatanishi maana hao, wataitwa wana wa Mungu.
  8. Heri waudhiwao sababu ya haki, u-falme wa mbingu ni wao.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa