Ingia / Jisajili

Wewe Ndiwe Mwenye Haki

Mtunzi: Michael Matai
> Mfahamu Zaidi Michael Matai
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Matai

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Michael Matai

Umepakuliwa mara 620 | Umetazamwa mara 1,796

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 23 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 23 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 23 Mwaka C

Download Nota
Maneno ya wimbo

Kiitikio - zaburi 119:137

Ee Bwana e Bwana wewe ndiwe mwenye haki; Ee Bwana e Bwana wewe ndiwe mwenye hali (Na huku-mu zako) // (Na) hukumu zako hukumu zako ni za adili x2

1. Kama zilivyo rehema zako, Umtendee mtumishi wako; Na amri zako unifundishe, unifundishe.

2. Umeziagiza shuhuda zako kwa haki; Na kwa uaminifu mwingi, uaminifu mwingi.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa