Mtunzi: Michael Matai
> Mfahamu Zaidi Michael Matai
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Matai
Makundi Nyimbo: Utatu Mtakatifu
Umepakiwa na: Michael Matai
Umepakuliwa mara 748 | Umetazamwa mara 2,257
Download NotaWagalatia 4;6,7,8 na 31
Na kwakuwa ninyi mmekuwa wana, Mungu alimtuma roho wa mwanawe mioyoni mwetu, aliaye Aba yaani Baba.
1. Kama ni hivyo wewe si mtumwa tena bali ni mwana; Na kama mwana basi umrithi wa Mungu.
2. Lakini wakati ule kwakuwa hamkumjua Mungu, mliwatumikia ambao kwa asili si miungu.
3. Ndipo ndugu zangu, sisi si watoto wa mjakazi; Bali tu wana wa huyo aliye muungwana.