Mtunzi: Michael Matai
> Mfahamu Zaidi Michael Matai
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Matai
Makundi Nyimbo: Ubatizo
Umepakiwa na: Michael Matai
Umepakuliwa mara 1,728 | Umetazamwa mara 3,732
Download NotaNimeona maji yakitoka hekaruni, upande wakuume Aleluya x2 // Na wote waliofikiwa na maji hayo wakaokoka, nao wakasema aleluya aleluya x2
1. Mshukuruni Bwana kwani ni mwema, Bwana ni mwema; Kwa maana fadhili zake ni za milele.
2. Israeli aseme sasa, aseme sasa; Ya kwamba fadhili zake ni za milele.