Mtunzi: Michael Matai
> Mfahamu Zaidi Michael Matai
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Matai
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Michael Matai
Umepakuliwa mara 818 | Umetazamwa mara 2,557
Download NotaPendo alilonalo Mungu kwetu sisi, Nasi tumelifahamu pendo la Mungu kwetu sisi, Nasi tumeliamini x2
1. Mungu ni upendo, naye akaaye katika pendo, hukaa ndani ya Mungu na Mungu ndani yake.
2. Hakika hili pendo, limekamilishwa kwetu sisi, ili tuwe majasiri siku ya hukumu.