Ingia / Jisajili

Enyi Wawili Mliopendana

Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga

Makundi Nyimbo: Ndoa

Umepakiwa na: David Wasonga

Umepakuliwa mara 4,301 | Umetazamwa mara 8,772

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio:

Enyi wawili mliopendana Bwana aibariki, aibariki ndoa yenu.

Mashairi:

1. Basi mkaishi katika pendo lenu na kuyashika yote ya Bwana wetu Yesu.

2.Hii ndoa yenu iwe kama mzabibu, mzabibu uzaao matunda mema.

3.Nasi twawasihi muwe wavumilivu, muwe wavumilivu, muwe wavumilivu.


Maoni - Toa Maoni

MUSSAJ Aug 23, 2016
NAWAPMGEZA KWA NYIMBO NZULI

Toa Maoni yako hapa