Mtunzi: Thomas G. Mwakimata
> Tazama Nyimbo nyingine za Thomas G. Mwakimata
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Zaburi | Shukrani
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 691 | Umetazamwa mara 2,737
Download Nota Download MidiFadhili za Bwana nitaziimba milele kwa kinywa changu nitavijulisha vizazi vyote uaminifu wako x 2.
Mashairi:
1. Maana nimesema fahili zitajengwa milele, katika Mbingu nitaudhibitisha uaminifu wako.
2. Nimefanya Agano na mteule wangu nimemwapia Daudi mtumishi wangu.
3. Wazao wako nitawafanya imara milele, Nitakijenga kiti chako cha enzi hata milele.
4. Yeye ataniita wewe baba yangu, Mungu wangu na mwamba wa wokovu wangu.
5. Hata milele nitamwekea fadhili zangu, Na Agano langu litafanyika amini kwake.