Ingia / Jisajili

Bwana Asema Mimi Ni Wokovu

Mtunzi: Thomas G. Mwakimata
> Tazama Nyimbo nyingine za Thomas G. Mwakimata

Makundi Nyimbo: Kwaresma | Mafundisho / Tafakari | Shukrani | Zaburi

Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata

Umepakuliwa mara 444 | Umetazamwa mara 1,116

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 25 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 25 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 25 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Bwana asema mimi ni wokovu wa watu x 2, Wakinililia katika taabu yeyote, Nitawasililiza x 2.

Mashairi:

1. Njoni kwangu ninyi nyote msumbukao, Nakuelemewa na mizigo, Naami nitawapumzisha.

2. Jitieni nira yangu mjifunze toka kwangu, Kwakuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa Moyo.

3. Aniaminiye mimi nakushika neno langu, Nami nitamfufua siku ile ya mwisho


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa