Ingia / Jisajili

Nitaondoka Nitakwenda kwa Baba

Mtunzi: Mayebwa.ii.ek.
> Mfahamu Zaidi Mayebwa.ii.ek.
> Tazama Nyimbo nyingine za Mayebwa.ii.ek.

Makundi Nyimbo: Juma Kuu

Umepakiwa na: Mika Wihuba

Umepakuliwa mara 70 | Umetazamwa mara 426

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 24 Mwaka C
- Shangilio Dominika ya 4 ya Kwaresma Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

                                NITAONDOKA NITAKWENDA KWA BABA

  • Kiitikio:

Nitaondoka, nitakwenda kwa Baba yangu. x2 Nakumwambia Baba nimekosa. x2 Baba Baba Baba Baba nimekosa juu ya mbingu na mbele yako. x2.

  • Beti;
  • 1.Ee Mungu unirehemu sawasawa na fadhili zako kiasi cha wingi wa rehema zako, uyafute makosa yangu.
  • 2.Unioshe uovu wangu Bwana nitakase dhambi zangu nimeyajua makosa yangu yote, Dhambi yangu i mbele yangu.
  • 3.Ee Mungu uniumbie Mungu niumbie Moyo safi Ee Bwana uifanye upya Roho yangu, Roho iliyondani mwangu.
  • 4.Ee Bwana usinitenge usinitenge na uso wako na wala Roho wako mtakatifu, Bwana usiniondolee.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa