Mtunzi: Michael Mhanila
                     
 > Mfahamu Zaidi Michael Mhanila                      
 > Tazama Nyimbo nyingine za Michael Mhanila                 
Makundi Nyimbo: Majilio | Mwanzo
Umepakiwa na: Michael Mhanila
Umepakuliwa mara 460 | Umetazamwa mara 2,016
Download Nota Download MidiFurahini furaahini katika Bwana siku zote tena nasema furahini Bwana yukaribu
1. tazameni Bwana anakuja kutukomboa utumwani mwa dhambi
2. sikieni sauti ya mtu alie nyikani yanyoosheni mapito yake