Mtunzi: Thomas G. Mwakimata
> Tazama Nyimbo nyingine za Thomas G. Mwakimata
Makundi Nyimbo: Kwaresma | Mafundisho / Tafakari | Zaburi
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 350 | Umetazamwa mara 1,484
Download Nota Download MidiNami nimezitumainia fadhili zako, Moyo wangu na ufurahie wokovu wako x 2.
Mashairi:
1. Naam nimwimbie Bwana nimwimbie kwakuwa amenitendea kwa ukarimu.
2. Ee Bwana hata lini utanisahau, Hata milele utanificha uso wako.
3. Hata lini Bwana nifanye mashauri nafsini mwangu, nikihuzunika moyoni mwangu mchana kutwa.
4. Bwana hata lini adui yangu atukuke juu yangu, Ee Bwana Mungu wangu uangalie uniitikie.