Mtunzi: Samwel Mapande
> Mfahamu Zaidi Samwel Mapande
> Tazama Nyimbo nyingine za Samwel Mapande
Makundi Nyimbo: Noeli
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 575 | Umetazamwa mara 1,713
Download Nota Download Midi(Twambieni hivi leo kuna nini mbona ngoma na vifijo?) leo kazaliwa Mkombozi wetu. (Ndiye Yesu Kristo tuliyemngoja au mtu mwingine?) ndiye Kristo Bwana mwana wa Daudi (sote) {tuimbe Aleluya Mkombozi wetu kazaliwa tumekombolewa kutoka utumwani mwa shetani. x2}
01:MKombizi tuliyemngoja leo hii kazaliwa, ndiyo maana tunafurahi, Nuru ya Amani imetung'alia.
02:Ndiye mtetezi wa wanyonge furaha ya hudhuni, ndiye Baba wa Yatima, Bwana wa wajane Mungu mwenye nguvu.
03:Aleluya Aleluya Aleluya Aleluya Aleluya Aleluya Aleluya Aleluya Aleluya.